LIVE Kutoka Dodoma:Rais Jakaya Kikwete Azindua Awamu Ya Tatu Ya TASA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa
Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti
15, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya wananchi wakati
akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII)
Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mabanda ya maonesho wakati wa uzinduzi
wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa
Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. Pamoja naye ni Spika wa Bunge
Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa
TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga wakati akikagua mabanda ya maonesho wakati
wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII)
Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. pamoja naye ni Spika
wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Iddi. Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilekea kukagua mabanda ya maonesho wakati wa
uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII)
Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. pamoja naye ni Spika
wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi
Seif Iddi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Mahusiano), Mhe
Steven Wassira.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi tuzo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu
wa TASAF Dr Servacius Likwelile wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
leo Agosti 15, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Iddi kitabu cha uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko
wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma
leo Agosti 15, 2012.
No comments:
Post a Comment